Psalms 106:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
waliubadilisha utukufu wa Mungu, kwa sanamu ya mnyama ambaye hula nyasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliubadilisha Utukufu wao kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaubadili utukufu wao Kuwa mfano wa ng'ombe mla majani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
waliubadilisha utukufu wa Mungu, kwa sanamu ya mnyama ambaye hula nyasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliubadilisha Utukufu wa Mungu na kuipa sanamu ya fahali, ambaye hula majani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliubadilisha Utukufu wao kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaubadili utukufu wao Kuwa mfano wa ng'ombe mla majani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
waliubadilisha utukufu wa Mungu, kwa sanamu ya mnyama ambaye hula nyasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, walivyougeuza utukufu wao kuwa kama wa ng'ombe mwenye kula majani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaubadili utukufu wao Kuwa mfano wa ng’ombe mla majani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
walibadilisha utukufu wa Mungu kwa sanamu ya nyama ambaye anakula majani.