Psalms 106:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimsahau Mungu aliyewaokoa, aliyetenda mambo makuu nchini Misri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walimsahau Mungu aliyewaokoa, aliyetenda mambo makuu huko Misri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamsahau Mungu, mwokozi wao, Aliyetenda makuu katika Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimsahau Mungu aliyewaokoa, aliyetenda mambo makuu nchini Misri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walimsahau Mungu aliyewaokoa, ambaye alikuwa ametenda mambo makuu huko Misri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walimsahau Mungu aliyewaokoa, aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamsahau Mungu, mwokozi wao, Aliyetenda makuu katika Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimsahau Mungu aliyewaokoa, aliyetenda mambo makuu nchini Misri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamsahau Mungu aliyewaokoa na kufanya mambo makuu kule Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamsahau Mungu, mwokozi wao, Aliyetenda makuu katika Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimusahau Mungu aliyewaokoa, aliyetenda mambo makubwa katika inchi ya Misri,