Psalms 106:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu alisema atawaangamiza watu wake, ila tu Mose mteule wake aliingilia kati, akaizuia hasira yake isiwaangamize.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: kama Musa mteule wake, asingesimama kati yao na Mungu kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema ya kuwa atawaangamiza Kama Musa, mteule wake, asingalisimama, Mbele zake kama mahali palipobomoka, Ili aigeuze hasira yake asije akawaharibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu alisema atawaangamiza watu wake, ila tu Mose mteule wake aliingilia kati, akaizuia hasira yake isiwaangamize.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: kama Mose mteule wake, asingesimama kati yao na Mungu kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: kama Musa mteule wake, asingesimama kati yao na Mungu kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema ya kuwa atawaangamiza Kama Musa, mteule wake, asingalisimama, Mbele zake na kusimama palipobomoka, Ili aigeuze hasira yake asije akawaangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu alisema atawaangamiza watu wake, ila tu Mose mteule wake aliingilia kati, akaizuia hasira yake isiwaangamize.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaza kuwamaliza, waishe kabisa, kama Mose, aliyemchagua, asingalijisimamisha mbele yake kwenye ule ufa ulioatuka, ayatulize machafuko yake, asiwaangamize.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema ya kuwa atawaangamiza Kama Musa, mteule wake, asingalisimama, Mbele zake kama mahali palipobomoka, Ili aigeuze hasira yake asije akawaharibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu alisema atawaangamiza watu wake, lakini Musa, muchaguliwa wake, aliingilia kati, akazuia hasira yake isiwaangamize.