Psalms 106:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinungunika mahemani mwao, wala hawakumsikiliza Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinung’unika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali wakanung'unika hemani mwao, Wala hawakuisikiliza sauti ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinung'unika mahemani mwao, wala hawakumsikiliza Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walinung'unika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walinung’unika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali wakanung'unika hemani mwao, Wala hawakuisikiliza sauti ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinungunika mahemani mwao, wala hawakumsikiliza Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mahema yao wakanung'unika, hawakuisikiliza sauti yake yeye Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali wakanung’unika hemani mwao, Wala hawakuisikiliza sauti ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinungunika ndani ya hema zao, wala hawakumusikiliza Yawe.