Psalms 106:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
atawatawanya wazawa wao kati ya watu, na kuwasambaza duniani kote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa, na kuwatawanya katika nchi zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kuwatawanya wazao wao kati ya mataifa, Na kuwatapanya katika nchi mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
atawatawanya wazawa wao kati ya watu, na kuwasambaza duniani kote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa na kuwatawanya katika nchi zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa, na kuwatawanya katika nchi zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuwatawanya wazao wao kati ya mataifa, Na kuwatapanya katika nchi za mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
atawatawanya wazawa wao kati ya watu, na kuwasambaza duniani kote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
awatapanye walio wa uzao wao kwenye wamizimu na kuwamwaga katika nchi zilizokuwa za wengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kuwatawanya wazao wao kati ya mataifa, Na kuwatapanya katika nchi mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
atawatawanya wazao wao kati ya watu, na kuwasambaza katika dunia yote.