Psalms 106:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakajiunga kumwabudu Baali kule Peori, wakala tambiko zilizotambikiwa mizimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walijifunga nira na Baali wa Peori, wakala dhabihu zilizotolewa kwa miungu isiyo na uhai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakajiambatiza na Baal-Peori, Wakazila dhabihu za wafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakajiunga kumwabudu Baali kule Peori, wakala tambiko zilizotambikiwa mizimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walijifunga nira na Baali wa Peori, wakala dhabihu zilizotolewa kwa miungu isiyo na uhai,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walijifunga nira na Baali wa Peori, wakala dhabihu zilizotolewa kwa miungu isiyo na uhai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwabudu Baal-Peori, Wakazila dhabihu zilizotolewa kwa wafu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakajiunga kumwabudu Baali kule Peori, wakala tambiko zilizotambikiwa mizimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakaja kugandamana na Baali Peori, wakala nyama za tambiko la mizimu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakajiambatiza na Baal-Peori, Wakazila dhabihu za wafu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakajiunga kumwabudu Bali kule Peori, wakakula sadaka zilizotambikiwa kwa mizimu.