Psalms 106:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliichochea hasira ya Mwenyezi-Mungu kwa matendo yao, maradhi mabaya yakazuka kati yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliichochea hasira ya Mwenyezi Mungu, wakamkasirisha kwa matendo yao maovu, nayo tauni ikazuka katikati yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamkasirisha kwa matendo yao; Tauni ikawashambulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliichochea hasira ya Mwenyezi-Mungu kwa matendo yao, maradhi mabaya yakazuka kati yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
waliichochea hasira ya BWANA, wakamkasirisha kwa matendo yao maovu, tauni ikazuka katikati yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliichochea hasira ya bwana, wakamkasirisha kwa matendo yao maovu, nayo tauni ikazuka katikati yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamkasirisha kwa matendo yao; Tauni ikawashambulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliichochea hasira ya Mwenyezi-Mungu kwa matendo yao, maradhi mabaya yakazuka kati yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, walivyomkasirisha na matendo yao. Kisha kilipotukia kwao kipindupindu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamkasirisha kwa matendo yao; Tauni ikawashambulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliichochea hasira ya Yawe kwa matendo yao, magonjwa makali yakatokea kati yao.