Psalms 106:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri wale wanaotekeleza haki, wanaotenda daima mambo yaliyo sawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri wale wanaodumisha haki, ambao daima wanafanya yaliyo mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri washikao hukumu, Na kutenda haki sikuzote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri wale wanaotekeleza haki, wanaotenda daima mambo yaliyo sawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri wale wanaodumisha haki, ambao daima wanafanya yaliyo mema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri wale wanaodumisha haki, ambao daima wanafanya yaliyo mema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri washikao hukumu, Na kutenda haki siku zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri wale wanaotekeleza haki, wanaotenda daima mambo yaliyo sawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ndio wayashikao yanyokayo nao wafanyao siku zote yaliyo yenye wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri washikao hukumu, Na kutenda haki sikuzote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri wale wanaofuata sheria ya Mungu, wanaotenda siku zote mambo ya haki.