Psalms 106:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimkasirisha Mungu penye maji ya Meriba, Mose akapata taabu kwa ajili yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha Mwenyezi Mungu, janga likampata Musa kwa sababu yao;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamghadhibisha penye maji ya Meriba, Hasara ikampata Musa kwa ajili yao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimkasirisha Mungu penye maji ya Meriba, Mose akapata taabu kwa ajili yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha BWANA, janga likampata Mose kwa sababu yao;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha bwana, janga likampata Musa kwa sababu yao;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamghadhibisha penye maji ya Meriba, Hasara ikampata Musa kwa ajili yao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimkasirisha Mungu penye maji ya Meriba, Mose akapata taabu kwa ajili yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakamchafua moyo tena kwenye maji ya Meriba, Mose naye akapatwa na mabaya kwa ajili yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamghadhibisha penye maji ya Meriba, Hasara ikampata Musa kwa ajili yao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimukasirikisha Mungu penye maji ya Meriba. Musa akapata taabu kwa ajili yao.