Psalms 106:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimtia Mose uchungu rohoni, hata akasema maneno bila kufikiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana walimwasi Roho wa Mungu, na maneno yasiyofaa yakatoka mdomoni kwa Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu waliiasi roho yake, Akasema yasiyofaa kwa midomo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimtia Mose uchungu rohoni, hata akasema maneno bila kufikiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana walimwasi Roho wa Mungu na maneno yakatoka midomoni kwa Mose bila kufikiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana walimwasi Roho wa Mwenyezi Mungu, na maneno yasiyofaa yakatoka midomoni kwa Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu waliiasi roho yake, Akasema yasiyofaa kwa midomo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimtia Mose uchungu rohoni, hata akasema maneno bila kufikiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani walipoibishia roho yake, midomo yake ilisema maneno yasiyompasa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu waliiasi roho yake, Akasema yasiyofaa kwa midomo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimuletea uchungu katika roho, hata akasema maneno bila kufikiri.