Psalms 106:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawakuwaua watu wa mataifa mengine kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawakuyaangamiza yale mataifa kama Mwenyezi Mungu alivyowaagiza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawakuwaharibu watu wa nchi Kama Bwana alivyowaambia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawakuwaua watu wa mataifa mengine kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawakuyaangamiza yale mataifa kama BWANA alivyowaagiza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawakuyaangamiza yale mataifa kama bwana alivyowaagiza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawakuwaangamiza watu wa nchi Kama BWANA alivyowaambia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawakuwaua watu wa mataifa mengine kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hawakuyamaliza makabila ya watu. Bwana aliyowaagiza kuwaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawakuwaharibu watu wa nchi Kama BWANA alivyowaambia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawakuwaua watu wa mataifa kama vile Yawe alivyowaamuru.