Psalms 106:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unikumbuke ee Mwenyezi-Mungu unapowafadhili watu wako; unisaidie wakati unapowaokoa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, unikumbuke unapowatendea mema watu wako, uwe msaada wangu unapowaokoa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unikumbuke mimi, Kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako. Unijilie kwa wokovu wako,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unikumbuke ee Mwenyezi-Mungu unapowafadhili watu wako; unisaidie wakati unapowaokoa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, unikumbuke unapowatendea mema watu wako, uwe msaada wangu unapowaokoa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, unikumbuke unapowatendea mema watu wako, uwe msaada wangu unapowaokoa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unikumbuke mimi, Kwa kibali ulicho nacho kwa watu wako. Unijie kwa wokovu wako,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unikumbuke ee Mwenyezi-Mungu unapowafadhili watu wako; unisaidie wakati unapowaokoa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, nikumbuke kwa kupendezwa nao walio ukoo wako! Unijie kunikagua, upate kuniokoa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unikumbuke mimi, Kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako. Unijilie kwa wokovu wako,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unikumbuke, ee Yawe, unapowaonyesha watu wako upendo. Unisaidie wakati unapowaokoa,