Psalms 106:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawawakia watu wake, akachukizwa sana na hao waliokuwa mali yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Mwenyezi Mungu akawakasirikia watu wake na akauchukia sana urithi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hasira ya Bwana ikawaka juu ya watu wake, Akauchukia urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawawakia watu wake, akachukizwa sana na hao waliokuwa mali yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo BWANA akawakasirikia watu wake na akauchukia sana urithi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo bwana akawakasirikia watu wake na akauchukia sana urithi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hasira ya BWANA ikawaka juu ya watu wake, Akauchukia urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawawakia watu wake, akachukizwa sana na hao waliokuwa mali yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, walio ukoo wake walivyokoleza moto wa makali yake Bwana, wao waliokuwa fungu lake wakamtapisha,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hasira ya BWANA ikawaka juu ya watu wake, Akauchukia urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasira ya Yawe ikawawakia watu wake, akachukizwa sana na hao waliokuwa mali yake.