Psalms 106:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara nyingi Mungu aliwaokoa watu wake, lakini wao wakachagua kumwasi, wakazidi kuzama katika uovu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara nyingi aliwaokoa lakini walizama kwenye uasi, na wakajiharibu katika dhambi zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara nyingi aliwaponya, Bali walikuwa wakimwasi kwa mashauri yao, Wakadhilika katika uovu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara nyingi Mungu aliwaokoa watu wake, lakini wao wakachagua kumwasi, wakazidi kuzama katika uovu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara nyingi aliwaokoa lakini wao walikuwa wamezama kwenye uasi, nao wakajiharibu katika dhambi zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara nyingi aliwaokoa lakini walikuwa wamezama kwenye uasi, nao wakajiharibu katika dhambi zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara nyingi aliwaponya, Bali walikuwa wakimwasi kwa mashauri yao, Wakawa dhalili kwa uovu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara nyingi Mungu aliwaokoa watu wake, lakini wao wakachagua kumwasi, wakazidi kuzama katika uovu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara nyingi aliwaopoa, lakini kwa mashauri yao wakamkataa, wakabanwa kwa ajili ya manza, walizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara nyingi aliwaponya, Bali walikuwa wakimwasi kwa mashauri yao, Wakadhilika katika uovu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara nyingi Mungu aliwaokoa watu wake, lakini wao wakachagua kumwasi, wakazidi kuzama katika uovu wao.