Psalms 106:45 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa ajili yao alilikumbuka agano lake, akawahurumia kwa wingi wa fadhili zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa ajili yao akakumbuka agano lake, na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawakumbukia agano lake; Akawahurumia kwa wingi wa fadhili zake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa ajili yao alilikumbuka agano lake, akawahurumia kwa wingi wa fadhili zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa ajili yao akakumbuka Agano lake na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa ajili yao akakumbuka agano lake, na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawakumbukia agano lake; Akawahurumia kwa wingi wa fadhili zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa ajili yao alilikumbuka agano lake, akawahurumia kwa wingi wa fadhili zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akalikumbuka Agano lake, alilolifanya nao, kwa upole wake mwingi akawahurumia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawakumbukia agano lake; Akawahurumia kwa wingi wa fadhili zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa ajili yao alilikumbuka agano lake, akawahurumia kwa wingi wa wema wake.