Psalms 106:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, utukusanye pamoja kutoka kwa mataifa, tupate kulisifu jina lako takatifu, na kuona fahari juu ya sifa zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, tuokoe. Tukusanye tena kutoka kwa mataifa, ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu, na kushangilia katika sifa zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Mungu wetu, utuokoe, Utukusanye kwa kututoa katika mataifa, Tulishukuru jina lako takatifu, Tuzifanyie shangwe sifa zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, utukusanye pamoja kutoka kwa mataifa, tupate kulisifu jina lako takatifu, na kuona fahari juu ya sifa zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mungu wetu, utuokoe, utukusanye tena kutoka kwa mataifa, ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu na kujisifu katika sifa zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mwenyezi Mungu wetu, tuokoe. Tukusanye tena kutoka kwa mataifa, ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu, na kushangilia katika sifa zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Mungu wetu, utuokoe, Utukusanye kwa kututoa katika mataifa, Tulishukuru jina lako takatifu, Tuzifanyie shangwe sifa zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utuokoe, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, utukusanye pamoja kutoka kwa mataifa, tupate kulisifu jina lako takatifu, na kuona fahari juu ya sifa zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tuokoe, Bwana, uliye Mungu wetu! Tukusanye na kututoa kwenye wamizimu, tupate kulishukuru Jina lako takatifu, tuzidishe kukusifu na kukushangilia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Mungu wetu, utuokoe, Utukusanye kwa kututoa katika mataifa, Tulishukuru jina lako takatifu, Tuzifanyie shangwe sifa zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utuokoe, ee Yawe, Mungu wetu, utukusanye pamoja kutoka kwa mataifa, tupate kusifu jina lako takatifu, na kuona utukufu juu ya sifa zako.