Psalms 106:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako, niweze kushiriki katika furaha ya taifa lako, na kuungana na urithi wako katika kukusifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako, niweze kushiriki katika furaha ya taifa lako, na kuungana na urithi wako katika kukusifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako, niweze kushiriki katika furaha ya taifa lako, na kuungana na urithi wako katika kukusifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nami nipate kuyatazama mema yao wateule wako, tena niifurahie furaha yao walio kabila lako, tushangilie pamoja nao walio fungu lako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi niweze kuona uheri wa wachaguliwa wako, nipate kushiriki katika furaha ya taifa lako, na kuona utukufu pamoja na watu wako.