Psalms 107:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi waliishi katika giza na ukiwa, wafungwa katika mateso na minyororo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, wafungwa wakiteseka katika minyororo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliokaa katika giza na uvuli wa mauti, Wamefungwa katika taabu na chuma,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi waliishi katika giza na ukiwa, wafungwa katika mateso na minyororo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, wafungwa wakiteseka katika minyororo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, wafungwa wakiteseka katika minyororo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliokaa katika giza na uvuli wa mauti, Wamefungwa katika taabu na minyororo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi waliishi katika giza na ukiwa, wafungwa katika mateso na minyororo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako wengine, walikaa gizani mwenye kufa, wakawa wamefungwa na kubanwa na vyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliokaa katika giza na uvuli wa mauti, Wamefungwa katika taabu na chuma,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wengine waliishi katika giza na ukiwa, wafungwa katika mateso na minyororo,