Psalms 107:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu waliasi maagizo ya Mungu, na kuyapuuza mashauri yake Mungu Mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu waliasi dhidi ya maneno ya Mungu, na kudharau ushauri wa Aliye Juu Sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu waliyaasi maneno ya Mungu, Wakalidharau shauri lake Aliye juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu waliasi maagizo ya Mungu, na kuyapuuza mashauri yake Mungu Mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu walikuwa wameasi dhidi ya maneno ya Mungu na kudharau shauri la Aliye Juu Sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu walikuwa wameasi dhidi ya maneno ya Mungu na kudharau shauri la Aliye Juu Sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu waliyaasi maneno ya Mungu, Wakalidharau shauri lake Aliye Juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu waliasi maagizo ya Mungu, na kuyapuuza mashauri yake Mungu Mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani walikataa kuyatii maneno yake Mungu, wakalibeza shauri lake yule Alioko huko juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu waliyaasi maneno ya Mungu, Wakalidharau shauri lake Aliye juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu waliasi maagizo ya Mungu, na kuzarau mashauri ya Mungu Mukubwa.