Psalms 107:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikuwa hoi kwa kazi ngumu, wakaanguka chini, pasiwe na wa kuwasaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwatumikisha kwa kazi ngumu; walijikwaa na hapakuwa na mtu wa kuwasaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata akawadhili moyo kwa taabu, Wakajikwaa wala hakuna msaidizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikuwa hoi kwa kazi ngumu, wakaanguka chini, pasiwe na wa kuwasaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwatumikisha kwa kazi ngumu; walijikwaa na hapakuwepo na ye yote wa kuwasaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwatumikisha kwa kazi ngumu; walijikwaa na hapakuwepo yeyote wa kuwasaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata akawadhili moyo kwa taabu, Wakajikwaa, wala pasiwe na wa kuwasaidia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikuwa hoi kwa kazi ngumu, wakaanguka chini, pasiwe na wa kuwasaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo aliinyenyekeza mioyo yao kwa kuwatesa, nao walipojikwaa, hakuwako aliyewasaidia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata akawadhili moyo kwa taabu, Wakajikwaa wala hakuna msaidizi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walikuwa tabani kwa kazi ngumu, wakaanguka chini, wala hawakuwa na wa kuwasaidia.