Psalms 107:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Semeni hivyo, enyi mliokombolewa na Mwenyezi-Mungu, watu ambao aliwaokoa katika taabu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliokombolewa wa Mwenyezi Mungu na waseme hivi, wale aliowaokoa kutoka mkono wa adui,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na waseme hivi waliokombolewa na Bwana, Wale aliowakomboa na mkono wa mtesi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Semeni hivyo, enyi mliokombolewa na Mwenyezi-Mungu, watu ambao aliwaokoa katika taabu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliokombolewa wa BWANA na waseme hivi, wale aliowaokoa kutoka katika mkono wa adui,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliokombolewa wa bwana na waseme hivi, wale aliowaokoa kutoka mkono wa adui,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na waseme hivi waliokombolewa na BWANA, Wale aliowakomboa na mkono wa mtesi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Semeni hivyo, enyi mliokombolewa na Mwenyezi-Mungu, watu ambao aliwaokoa katika taabu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, watakavyosema waliokombolewa na Bwana, aliowakomboa katika masongano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na waseme hivi waliokombolewa na BWANA, Wale aliowakomboa na mkono wa mtesi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Museme hivyo, enyi muliokombolewa na Yawe, watu ambao aliwaokoa katika taabu,