Psalms 107:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa neno lake aliwaponya, akawaokoa wasiangamie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akalituma neno lake na kuwaponya, akawaokoa kutoka maangamizi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa neno lake aliwaponya, akawaokoa wasiangamie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akalituma neno lake na kuwaponya, akawaokoa kutoka maangamizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akalituma neno lake na kuwaponya, akawaokoa kutoka maangamizo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa neno lake aliwaponya, akawaokoa wasiangamie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akalituma Neno lake, likawaponya, akawaopoa shimoni mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa neno lake aliwaponyesha, akawaokoa wasiangamie.