Psalms 107:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi walisafiri baharini kwa meli, na kufanya shughuli zao humo baharini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine walisafiri baharini kwa meli, walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Washukao baharini katika merikebu, Wafanyao kazi yao katika maji mengi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi walisafiri baharini kwa meli, na kufanya shughuli zao humo baharini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine walisafiri baharini kwa meli, walikuwa wafanya biashara kwenye maji makuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine walisafiri baharini kwa meli, walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Washukao baharini katika merikebu, Wafanyao kazi yao katika maji mengi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi walisafiri baharini kwa meli, na kufanya shughuli zao humo baharini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako wengine waliosafiri baharini katika merikebu wakifuata uchuuzi kule kwenye maji mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Washukao baharini katika merikebu, Wafanyao kazi yao katika maji mengi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wengine walisafiri katika bahari ndani ya mashua, na kufanya shuguli zao humo juu ya bahari.