Psalms 107:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliyaona matendo ya Mwenyezi-Mungu, mambo ya ajabu aliyotenda huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliziona kazi za Mwenyezi Mungu, matendo yake ya ajabu kilindini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao huziona kazi za Bwana, Na maajabu yake vilindini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliyaona matendo ya Mwenyezi-Mungu, mambo ya ajabu aliyotenda huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliziona kazi za BWANA, matendo yake ya ajabu katika kilindi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliziona kazi za bwana, matendo yake ya ajabu kilindini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao huziona kazi za BWANA, Na maajabu yake vilindini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliyaona matendo ya Mwenyezi-Mungu, mambo ya ajabu aliyotenda huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliyaona matendo ya Bwana na vioja vyake kwenye vilindi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao huziona kazi za BWANA, Na maajabu yake vilindini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliona matendo ya Yawe, mambo ya ajabu aliyotenda huko.