Psalms 107:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliamuru, akazusha dhoruba kali, ikarusha juu mawimbi ya bahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana alisema na kuamsha tufani iliyoinua mawimbi juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana husema, akavumisha upepo wa dhoruba, Ukayainua juu mawimbi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliamuru, akazusha dhoruba kali, ikarusha juu mawimbi ya bahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana alisema na kuamsha tufani iliyoinua mawimbi juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana alisema na kuamsha tufani iliyoinua mawimbi juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana alisema, akavumisha upepo wa dhoruba, Ukayainua juu mawimbi ya bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliamuru, akazusha dhoruba kali, ikarusha juu mawimbi ya bahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kusema tu alileta upepo wa kimbunga uliokweza mawimbi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana husema, akavumisha upepo wa dhoruba, Ukayainua juu mawimbi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliamuru, akavumisha zoruba kali, ikarusha juu mawimbi ya bahari.