Psalms 107:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walitupwa juu angani, kisha chini vilindini; uhodari wao ukawaishia katika mkasa huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini; katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wapanda mbinguni, watelemka vilindini, Nafsi yao yayeyuka kwa hali mbaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walitupwa juu angani, kisha chini vilindini; uhodari wao ukawaishia katika mkasa huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yakainuka juu mbinguni yakashuka chini hadi vilindini, katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini, katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walirushwa juu mbinguni, waliteremka hadi vilindini, Uhodari wao ukayeyuka katika maafa yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walitupwa juu angani, kisha chini vilindini; uhodari wao ukawaishia katika mkasa huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yakawapandisha juu kwenda mbinguni, tena wakatelemka chini vilindini, roho zao zikayeyuka kwa hayo mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wapanda mbinguni, watelemka vilindini, Nafsi yao yayeyuka kwa hali mbaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walitupwa juu angani, kisha chini ndani ya shimo; uhodari wao ukawaishia katika tukio lile.