Psalms 107:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliyumbayumba na kupepesuka kama walevi; maarifa yao ya uanamaji yakawaishia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, ujanja wao ukafikia ukomo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wayumba-yumba, wapepesuka kama mlevi, Akili zao zote zawapotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliyumbayumba na kupepesuka kama walevi; maarifa yao ya uanamaji yakawaishia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, ujanja wao ukafikia ukomo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, ujanja wao ukafikia ukomo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliyumbayumba, walipepesuka kama mlevi, Ujuzi wao wote uliwaishia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliyumbayumba na kupepesuka kama walevi; maarifa yao ya uanamaji yakawaishia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakayumbayumba na kupepesuka kama mlevi, mizungu yao yote ikawa ya bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wayumba-yumba, wapepesuka kama mlevi, Akili zao zote zawapotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliyumbayumba na kuwayawaya kama walevi; ufundi wao ukawaishia.