Psalms 107:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wakafurahi kwa kupata utulivu; akawafikisha kwenye bandari waliyoiendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walifurahi ilipokuwa shwari, naye akawaongoza hadi bandari waliyoitamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo walipofurahi kwa kuwa yametulia Naye huwaleta mpaka bandari waliyoitamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wakafurahi kwa kupata utulivu; akawafikisha kwenye bandari waliyoiendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walifurahi ilipokuwa shwari, naye akawaongoza hadi kwenye bandari waliyoitamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walifurahi ilipokuwa shwari, naye akawaongoza hadi bandari waliyoitamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo walipofurahi kwa kuwa yametulia Naye akawaleta mpaka bandani waliyoitamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo wakafurahi kwa kupata utulivu; akawafikisha kwenye bandari waliyoiendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa yamepata kutulia, wakafurahi, kisha akawaingiza bandarini, walikotaka kwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo walipofurahi kwa kuwa yametulia Naye huwaleta mpaka bandari waliyoitamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo wakafurahi kwa kupata utulivu; akawafikisha kwenye kivuko walichokiendea.