Psalms 107:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu aliigeuza mito kuwa jangwa, chemchemi akazikausha kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye aligeuza mito kuwa jangwa, chemchemi za maji zinazotiririka kuwa ardhi yenye kiu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amegeuza mito ikawa jangwa, Na chemchemi za maji zikawa nchi ya kiu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu aliigeuza mito kuwa jangwa, chemchemi akazikausha kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye aligeuza mito kuwa jangwa, chemchemi za maji zitiririkazo kuwa ardhi yenye kiu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye aligeuza mito kuwa jangwa, chemchemi za maji zitiririkazo kuwa ardhi yenye kiu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amegeuza mito ikawa jangwa, Na chemchemi za maji zikawa nchi kavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu aliigeuza mito kuwa jangwa, chemchemi akazikausha kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aligeuza mito mikubwa kuwa nyika, nazo mboji za maji kuwa nchi kavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amegeuza mito ikawa jangwa, Na chemchemi za maji zikawa nchi ya kiu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu aligeuza mito kuwa jangwa, chemichemi akazikausha kabisa.