Psalms 107:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ardhi yenye rutuba akaifanya udongo wa chumvi, kwa sababu ya uovu wa wakazi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nchi inayozaa ikawa ya chumvi isiyofaa, kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi ya matunda mengi ikawa uwanda wa chumvi, Kwa sababu ya ubaya wao walioikaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ardhi yenye rutuba akaifanya udongo wa chumvi, kwa sababu ya uovu wa wakazi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nchi izaayo ikawa ya chumvi na isiyofaa, kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa, kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi ya matunda mengi ikawa uwanda wa chumvi, Kwa sababu ya uovu wa wakazi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ardhi yenye rutuba akaifanya udongo wa chumvi, kwa sababu ya uovu wa wakazi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi yenye wiva akaigeuza kuwa jangwa la chumvi kwa ajili ya ubaya wao waliokaa kule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi ya matunda mengi ikawa uwanda wa chumvi, Kwa sababu ya ubaya wao walioikaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Udongo wenye mboleo akaugeuza kuwa udongo usioweza kutoa, kwa sababu ya uovu wa wakaaji wake.