Psalms 107:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawahamishia huko wenye njaa, nao wakajenga mji wa kukalika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wangeweza kuishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana amewakalisha huko wenye njaa, Nao wametengeneza mji wa kukaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawahamishia huko wenye njaa, nao wakajenga mji wa kukalika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wakaishi humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wangeweza kuishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana amewakalisha huko wenye njaa, Nao wamejenga mji wa kukaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawahamishia huko wenye njaa, nao wakajenga mji wa kukalika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawapa wenye njaa ya kukaa hapohapo, wapajengee mji wa kukaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana amewakalisha huko wenye njaa, Nao wametengeneza mji wa kukaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawahamishia wenye njaa kule, nao wakajenga muji wa kukaa humo.