Psalms 107:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha walipopungua na kuwa wanyonge, kwa kukandamizwa, kuteswa na huzuni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa kwa kuonewa, maafa na huzuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wakapungua na kudhilika, Kwa kuonewa na mabaya na huzuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha walipopungua na kuwa wanyonge, kwa kukandamizwa, kuteswa na huzuni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha hesabu yao ilipungua, walinyenyekeshwa kwa kuonewa, maafa na huzuni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa kwa kuonewa, maafa na huzuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walipopungua na kudhilika, Kwa kuonewa na dhiki na huzuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha walipopungua na kuwa wanyonge, kwa kukandamizwa, kuteswa na huzuni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakapunguka tena, wakainamishwa chini kwa kulemewa na mabaya yaliyowasikitisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wakapungua na kudhilika, Kwa kuonewa na mabaya na huzuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha walipopunguka na kuwa wazaifu, kwa kugandamizwa, kuteswa na huzuni,