Psalms 107:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi walitangatanga katika jangwa tupu, wasiweze kufikia mji wa kukaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi yao walitangatanga jangwani, hawakuona njia ya kuwafikisha mji ambao wangeweza kuishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walitanga-tanga jangwani katika njia ya nyika; Hawakuona mji wa kukaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi walitangatanga katika jangwa tupu, wasiweze kufikia mji wa kukaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi yao walitangatanga jangwani, hawakuona njia ya kuwafikisha katika mji ambao wangeweza kuishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi yao walitangatanga jangwani, hawakuona njia ya kuwafikisha mji ambao wangeweza kuishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walitangatanga jangwani katika njia ya nyika; Hawakuona mji wa kukaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi walitangatanga katika jangwa tupu, wasiweze kufikia mji wa kukaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikuwa wamepotea nyikani katika njia za jangwani, mji uliokuwa wenye watu hawakuuona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walitanga-tanga jangwani katika njia ya nyika; Hawakuona mji wa kukaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamoja walitangatanga katika jangwa tupu, hawakuweza kufikia katika muji wa kukaa.