Psalms 107:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliwadharau wakuu waliowatesa, akawazungusha jangwani kusiko na njia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu, aliwafanya watangetange nyikani isiyo na njia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawamwagia wakuu dharau, Na kuwazungusha katika nyika isiyo na njia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliwadharau wakuu waliowatesa, akawazungusha jangwani kusiko na njia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu, aliwafanya watangetange kwenye nyika isiyo na njia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu, aliwafanya watangetange nyikani isiyo na njia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliwamwagia wakuu dharau, Na kuwazungusha katika nyika isiyo na njia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliwadharau wakuu waliowatesa, akawazungusha jangwani kusiko na njia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wao akawamwagia masimango, akawatangishatangisha maporini kusiko na njia zo zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawamwagia wakuu dharau, Na kuwazungusha katika nyika isiyo na njia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
aliwazarau wakubwa waliowatesa, akawazungusha katika jangwa lisilokuwa na njia.