Psalms 107:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini aliwaokoa wahitaji katika taabu zao, akaongeza jamaa zao kama kundi la kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamweka mhitaji juu mbali na mateso, Akamfanyia jamaa kama kundi la kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini aliwaokoa wahitaji katika taabu zao, akaongeza jamaa zao kama kundi la kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini alimwinua mhitaji juu mbali na mateso, Na kuwaongeza jamaa zao kama kundi la kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini aliwaokoa wahitaji katika taabu zao, akaongeza jamaa zao kama kundi la kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mkiwa alimkingia yale mateso, asifikiwe nayo, akaviweka vizazi vyake kuwa vingi kama kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamweka mhitaji juu mbali na mateso, Akamfanyia jamaa kama kundi la kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini aliwaokoa wakosefu katika taabu zao, akaongeza jamaa zao kama kundi la kondoo.