Psalms 107:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waadilifu waonapo jambo hilo wanafurahi, lakini waovu wote wananyamazishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanyofu wataona na kufurahi, lakini waovu wote watafunga vinywa vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanyofu wa moyo wataona na kufurahi, Na uovu wa kila namna utajifumba kinywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waadilifu waonapo jambo hilo wanafurahi, lakini waovu wote wananyamazishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanyofu wataona na kufurahi, lakini waovu wote watafunga vinywa vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanyofu wataona na kufurahi, lakini waovu wote watafunga vinywa vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanyofu wa moyo wanaona na kufurahi, Na waovu wote wananyamazishwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waadilifu waonapo jambo hilo wanafurahi, lakini waovu wote wananyamazishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanyokao mioyo walipoviona wakavifurahia kwamba: Wapotovu wote hufumbwa vinywa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanyofu wa moyo wataona na kufurahi, Na uovu wa kila namna utajifumba kinywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa usawa wanapoona jambo hilo wanafurahi, lakini waovu wote wananyamazishwa.