Psalms 107:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye hekima na wayafikirie mambo haya, wazitambue fadhili zake Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote aliye na hekima, ayasikie mambo haya, na atafakari upendo mkuu wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliye na hekima na ayaangalie hayo; Na wazitafakari fadhili za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye hekima na wayafikirie mambo haya, wazitambue fadhili zake Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote aliye na hekima, ayasikie mambo haya na atafakari upendo mkuu wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote aliye na hekima, ayasikie mambo haya, na atafakari upendo mkuu wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliye na hekima na ayaangalie hayo; Na wazitafakari fadhili za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenye hekima na wayafikirie mambo haya, wazitambue fadhili zake Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani aliye mwenye ujuzi? Na ayashike haya! Na autambue upole wake Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliye na hekima na ayaangalie hayo; Na wazitafakari fadhili za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye hekima wafikiri juu ya mambo haya, watambue wema wa Yawe.