Psalms 107:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo walipomlilia Mwenyezi Mungu katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamlilia Bwana katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo walipomlilia BWANA katika shida zao, naye akawaokoa kutoka katika taabu zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo walipomlilia bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipomlilia Bwana kwa kusongeka hivyo, naye akawaopoa katika masumbuko yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu katika taabu yao wakamulilia Yawe, naye akawaokoa katika mateso yao.