Psalms 107:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaongoza katika njia iliyonyoka, mpaka wakaufikia mji wa kukaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaongoza kwa njia iliyo sawa hadi mji ambao wangeweza kuishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaongoza kwa njia ya kunyoka, Wapate kwenda mpaka mji wa kukaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaongoza katika njia iliyonyoka, mpaka wakaufikia mji wa kukaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaongoza kwa njia iliyo sawa hadi kwenye mji ambao wangeweza kuishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaongoza kwa njia iliyo sawa hadi mji ambao wangeweza kuishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaongoza kwa njia ya kunyoka, Wapate kwenda mpaka mji wa kukaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaongoza katika njia iliyonyoka, mpaka wakaufikia mji wa kukaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaongoza katika njia iliyonyoka, wapate kufika mjini mwenye watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaongoza kwa njia ya kunyoka, Wapate kwenda mpaka mji wa kukaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaongoza katika njia iliyonyooka, mpaka wakafika katika muji wa kukaa.