Psalms 107:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi na wamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wamshukuru Bwana, kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi na wamshukuru BWANA kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi na wamshukuru bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wamshukuru BWANA, kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao na wamshukuru Bwana, ya kuwa ni mpole! Huwafanyizia wana wa watu vioja vyake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wamshukuru BWANA, kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumushukuru Yawe kwa wema wake na maajabu yake kwa wanadamu.