Psalms 107:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye huwatosheleza walio na kiu; na wenye njaa huwashibisha mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hushibisha nafsi yenye shauku, Na nafsi yenye njaa huijaza mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye huwatosheleza walio na kiu; na wenye njaa huwashibisha mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hushibisha nafsi yenye shauku, Na nafsi yenye njaa huijaza mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye huwatosheleza walio na kiu; na wenye njaa huwashibisha mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hushibisha roho yenye kiu, nayo roho yenye njaa huipatia mema mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hushibisha nafsi yenye shauku, Na nafsi yenye njaa huijaza mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anakunywesha wenye kiu; na anashibisha wenye njaa mazuri.