Psalms 108:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi: Wimbo) Niko thabiti moyoni, ee Mungu, naam, niko thabiti moyoni; nitaimba na kukushangilia! Amka, ee nafsi yangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti; nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, moyo wangu u thabiti, Nitaimba, nitaimba zaburi, Naam, kwa utukufu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niko thabiti moyoni, ee Mungu, naam, niko thabiti moyoni; nitaimba na kukushangilia! Amka, ee nafsi yangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi. Wimbo) Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti, nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti; nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, moyo wangu u thabiti, Nitaimba, nitaimba zaburi, Naam, kwa utukufu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niko thabiti moyoni, ee Mungu, naam, niko thabiti moyoni; nitaimba na kukushangilia! Amka, ee nafsi yangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
E Mungu, moyo wangu umetulia na kushupaa, niimbe na kupiga shangwe! Ndio utukufu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, moyo wangu u thabiti, Nitaimba, nitaimba zaburi, Naam, kwa utukufu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi: Wimbo.