Psalms 108:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani, atakayenipeleka kwenye mji wa ngome? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome? Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani atakayenipeleka hata mji wenye boma? Ni nani atakayeniongoza hata Edomu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani, atakayenipeleka kwenye mji wa ngome? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani atakayenileta hadi kwenye mji wenye ngome? Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome? Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye boma? Ni nani atakayeniongoza hadi Edomu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani, atakayenipeleka kwenye mji wa ngome? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani atakayenipeleka mjini mwenye maboma? Yuko nani atakayeniongoza mpaka Edomu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani atakayenipeleka hata mji wenye boma? Ni nani atakayeniongoza hata Edomu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moabu ni kama bakuli langu la kunawia; nitatupia kiatu changu katika Edomu kwa kuirizi, nitapiga kelele la ushindi juu ya Wafilistini!”