Psalms 108:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amkeni enyi kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amka, kinanda na kinubi, Nitaamka alfajiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amkeni enyi kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amka, kinanda na kinubi, Nitaamka alfajiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amkeni enyi kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amkeni, pango na zeze, niiamshe mionzi ya jua!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amka, kinanda na kinubi, Nitaamka alfajiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo wangu ni tayari, ee Mungu. Moyo wangu ni tayari. Nitaimba na kukushangilia! Amuka, ee nafsi yangu!