Psalms 108:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakusifu wewe, Ee Mwenyezi Mungu, kati ya mataifa; nitaimba habari zako, katika jamaa za watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia zaburi kati ya mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, nitakusifu katikati ya mataifa, nitaimba sifa zako katikati ya mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakusifu wewe, Ee bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye makundi ya watu wako nitakushukuru, Bwana nako kwenye wamizimu nitakuimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia zaburi kati ya mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muamuke, enyi kinubi na zeze! Nitaamusha mapambazuko!