Psalms 108:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fadhili zako ni kubwa kuliko mbingu; uaminifu wako waenea hata mawinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu; uaminifu wako unazifikia anga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni, Na uaminifu wako hata mawinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fadhili zako ni kubwa kuliko mbingu; uaminifu wako waenea hata mawinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana upendo wako ni mkuu, juu kuliko mbingu, uaminifu wako hufika mpaka angani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana upendo wako ni mkuu, ni juu kuliko mbingu; uaminifu wako unazifikia anga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana fadhili zako ni kubwa kuliko mbingu, Na uaminifu wako unafika hata mawinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fadhili zako ni kubwa kuliko mbingu; uaminifu wako waenea hata mawinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani upole wako ni mkubwa, unatutokea toka mbinguni, nako mawinguni unafika welekevu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni, Na uaminifu wako hata mawinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.