Psalms 108:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hao uwapendao na wasalimishwe; utusaidie kwa mkono wako na kutusikiliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale unaowapenda wapate kuokolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili wapenzi wako waopolewe, Uokoe kwa mkono wako wa kuume, uniitikie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hao uwapendao na wasalimishwe; utusaidie kwa mkono wako na kutusikiliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utuokoe na kutusaidia kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao wapate kuokolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao wapate kuokolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili watu uwapendao waokolewe, Unipe ushindi kwa mkono wako wa kulia, na uniitikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hao uwapendao na wasalimishwe; utusaidie kwa mkono wako na kutusikiliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kusudi wao, uwapendao, wapate kuopoka, mkono wako wa kuume uwaokoe, ukutuitikia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili wapenzi wako waopolewe, Uokoe kwa mkono wako wa kuume, uniitikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukuzwe, ee Mungu, juu ya mbingu! Utukufu wako uenee katika dunia yote!