Psalms 109:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Wimbo wa Daudi) Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, ninayekusifu, usiwe kimya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu wa sifa zangu, usinyamaze,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) Ee Mungu, ambaye ninakusifu, usiwe kimya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, ambaye ninakusifu, usiwe kimya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu wa sifa zangu, usinyamaze,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, nikushangiliaye, usinyamaze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu wa sifa zangu, usinyamaze,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Wimbo wa Daudi. Usinyamaze, ee Mungu, ninayekusifu!