Psalms 109:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wake watangetange na kuombaomba; wafukuzwe katika magofu ya nyumba zao!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto wake na watangetange wakiomba, na wafukuzwe kwenye magofu ya nyumba zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wake watangetange na kuombaomba; wafukuzwe katika magofu ya nyumba zao!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto wake na watangetange wakiomba-omba, na wafukuzwe kwenye magofu ya nyumba zao zilizobomoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto wake na watangetange wakiomba, na wafukuzwe kwenye magofu ya nyumba zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wake watangetange na kuombaomba; wafukuzwe katika magofu ya nyumba zao!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawe na waje kutangatanga na kuombaomba kwa kufukuzwa kwenye mahame yao, wakijitafutia vyakula!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wake watangetange na kuombaomba; wafukuzwe katika mabaki ya nyumba zao!