Psalms 109:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayemdai kitu amnyanganye mali yake yote; na wageni wanyakue mapato ya jasho lake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo, matunda ya kazi yake yatekwe nyara na wageni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mdai na anase vitu vyote alivyo navyo, Wageni na wateke mapato ya kazi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayemdai kitu amnyang'anye mali yake yote; na wageni wanyakue mapato ya jasho lake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo, matunda ya kazi yake na yatekwe nyara na wageni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo, matunda ya kazi yake yatekwe nyara na wageni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mdai na anase vitu vyote alivyo navyo, Wageni na wateke mapato ya kazi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayemdai kitu amnyanganye mali yake yote; na wageni wanyakue mapato ya jasho lake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkopeshaji na ajitwalie yote yaliyo yake, tena wageni na wapokonye aliyoyapata na kuyasumbukia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mdai na anase vitu vyote alivyo navyo, Wageni na wateke mapato ya kazi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemudai kitu amunyanganye mali yake yote, na wageni wakule mapato ya jasho lake!